Msanii Music Group - Bwana Niongoze Lyrics

Lyrics

Here are the lyrics for the song Bwana Uniongoze by Msanii Music Group:

[Intro]
Hee yee
Hee yee
Hee yee
Hee yee

[Chorus]
Ee Bwana, uniongoze
Nifike ng'ambo ya pili (ng'ambo ya pili)
Alipo Bibi Arusi
Nami niwe mmoja wao

Ee Bwana, uniongoze
Nifike ng'ambo ya pili (ng'ambo ya pili)
Alipo Bibi Arusi
Nami niwe mmoja wao

[Verse 1]
Njiani kuna mawimbi
Upepo wa majaribu
Hatua zinapolegea
Macho yakitazama mbali
Lakini sauti yako
Huniinua rohoni
Ukiniambia usiogope
Nami nasonga mbele

[Chorus]
Ee Bwana, uniongoze
Nifike ng'ambo ya pili (ng'ambo ya pili)
Alipo Bibi Arusi
Nami niwe mmoja wao

Ee Bwana, uniongoze
Nifike ng'ambo ya pili (ng'ambo ya pili)
Alipo Bibi Arusi
Nami niwe mmoja wao

[Verse 2]
Safari imenichosha
Misalaba imenizidi
Kilio cha moyo wangu
Na kikufikie Baba
Uvumilivu wanijengea kwa neno lako
Nisimame imara hadi mwisho wa mbio

[Chorus]
Ee Bwana, uniongoze
Nifike ng'ambo ya pili (ng'ambo ya pili)
Alipo Bibi Arusi
Nami niwe mmoja wao

[Verse 3]
Na siku ile itakapofika, tarumbeta italia
Giza litatoweka, na machozi yote yatafutwa
Tutakutana pamoja, familia na marafiki zetu wote tulioachana
Furaha ya milele, itakuwa fungu langu

[Chorus]
Ee Bwana, uniongoze
Nifike ng'ambo ya pili (ng'ambo ya pili)
Alipo Bibi Arusi
Nami niwe mmoja wao

Ee Bwana, uniongoze
Nifike ng'ambo ya pili (ng'ambo ya pili)
Alipo Bibi Arusi
Nami niwe mmoja wao

Ee Bwana, uniongoze
Nifike ng'ambo ya pili (ng'ambo ya pili)
Alipo Bibi Arusi
Nami niwe mmoja wao

Video

BWANA NIONGOZE // MSANII MUSIC GROUP

Thumbnail for Bwana Niongoze video
Loading...
In Queue
View Lyrics