Anthony Musembi - Todii Cover (Corona) Lyrics

Todii Cover (Corona) Lyrics

Ooh Corona
Hatari (Dangerous)
What shall we do?
Tuwe salama ( To be safe)
Sanitize
What shall we do? X2

Inaniuma Sana nikielewa ya kwamba (It pains me so much when I know)
Kuna ugonjwa hatari unauwa watu( There's a killer disease in our midst)
Inaniuma Sana nikielewa watu wengine hawazingatii( It pains me so much to realize some people are not careful)
Kuna ugonjwa hatari unauwa watu( there is a killer disease in out midst)
Jamani inatubidi tuzingatie maagizo ooh ( we need to take precaution)
Hosheni mikono muwe salama ( wash your hands to be safe)
Jamani ugonjwa huu hauna huruma( this epidemic is serious)
Ninajiombea mola niwe salama( I pray we shall overcome)

Ooh Corona
Hatari(Dangerous)
What shall we do?
Tuwe salama( To be safe)
Sanitize
(What shall we do?) X5

Nina amini Mungu hii Corona itakwisha
( I believe one day we shall overcome this Corona)
Ninajiombea Mola niwe salama( I pray we shall overcome)
Kilio msiba kila Kona Kwa watu wengi (pain and sorrow all over the world)
Ninajiombea Mola niwe salama( I pray we shall overcome)
Ipo siku Corona utashindwa nguvu ( I believe Corona will become historical)
Ninajiombea Mola niwe salama( I pray we shall overcome)
Wapendwa msife moyo yupo Mungu nasi ( fellow brethren, don't give up ,God is with us)
Ninajiombea mola niwe salama( I pray we shall overcome)

Ooh Corona
Hatari(Dangerous)
What shall we do?
Tuwe salama(To be safe)
Sanitize
(What shall we do?)*3

Eeh Mungu Baba( Ooh God is all creation)
Tunakuomba utuondolee janga hili ( we beg you to take away from us this pandemic)
Nafsi zetu zipone ( heal our lives ooh Lord)
Nchi zetu zipone ( Heal our land and our Nations)
Maisha yetu yapone ( Heal our lives)
Pepo ya Corona ishindwe ( the devil of Corona be defeated)
Katika jina la Yesu ( In Jesus name)
AMENTodii Cover (Corona) Video

Anthony Musembi Songs

Related Songs