Zabron Singers - Ombi Langu Lyrics

Ombi Langu Lyrics

Maneno mazuri yakisikika kinywani mwanguMbingu zaachia zake barakaManeno mazuri hufurahisha sikio la munguMungu kufurahi na kubarikiBaraka zake hazichagui mtu wala kabilaAkiamua kukubariki ubariki yeyoteNa kusudi lake ni mojaKufariji na kuinua kuponya na kusaidiaHuyo ndiye mungu wetuLeo nataka niweke patano na munguAmina aaaahNiishi vizuri nivae, maisha mazuriAmina ahFamilia nzuri na safi yakumjua munguAmina aaaahNiwe mtu mwema machoni pa mungu na watuAmina ahLeo nataka niweke patano na munguAmina aaaahNiishi vizuri nivae, maisha mazuriAmina ahFamilia nzuri na safi yakumjua munguAmina aaaahNiwe mtu mwema machoni pa mungu na watuAmina ahHili ndilo ombi languOmbi langu, ombi langu kutoka kwa mungu wanguKwa mungu wakoHili ni patano languPatano langu, patano langu ni mimi na mungu wanguHajawai danganya munguUkisema umetenda munguUkiahidi umetenda munguNilichoomba umetenda munguMaisha mazuri umenipaNyumba nzuri umenipaAfya nzuri umenipaKazi nzuri umenipaFamilia nzuri umenipaWatoto nzuri umenipaNilichoomba umenipaAta uhai umenipaUlisema iwe ikatokeaKakuna lililo shindikana So nani kama mungu Mi sijamuona tenaAsubuhi usiku pakaonekanaNi wewe uliamuaSo nani kama mungu Mi sijamuona tenaLeo nataka niweke patano na munguAmina aaaahNiishi vizuri nivae, maisha mazuriAmina ahFamilia nzuri na safi yakumjua munguAmina aaaahNiwe mtu mwema machoni pa mungu na watuAmina ahLeo nataka niweke patano na munguAmina aaaahNiishi vizuri nivae, maisha mazuriAmina ahFamilia nzuri na safi yakumjua munguAmina aaaahNiwe mtu mwema machoni pa mungu na watuAmina ahHili ndilo ombi languOmbi langu, ombi langu kutoka kwa mungu wanguKwa mungu wakoHili ni patano languPatano langu, patano langu ni mimi na mungu wangu


Zabron Singers-Ombi Langu (Official video lyrics)

Zabron Singers Songs

Related Songs