Boaz Danken - UONGEZEKE YESU Lyrics

UONGEZEKE YESU Lyrics

Mimi nipungue, wewe uongezeke
Mimi nipungue, wewe uongezeke
Mimi nipungue, wewe uongezeke
Mimi nipungue, wewe uongezeke

Uongezeke Yesu, uongezeke sana
Mimi nipungue, wewe uongezeke
Uongezeke Yesu, uongezeke sana
Mimi nipungue, wewe uongezeke

Mimi nipungue, wewe uongezeke
Mimi nipungue, wewe uongezeke
Mimi nipungue, wewe uongezeke
Mimi nipungue, wewe uongezeke

Uongezeke Yesu, uongezeke sana
Mimi nipungue, wewe uongezeke
Uongezeke Yesu, uongezeke sana
Mimi nipungue, wewe uongezeke

Mwambie bwana, mwadhimishe bwana Yesu
Nipe neema ya kunyenyekea
Siwezi nikakutumikia bila unyenyekevu
Ninyenyekeshe bwana

Uongezeke wewe Yesu
Uongezeke kila eneo la maisha yangu
Uongezeke kwenye huduma
Uongezeke nyumbani kwangu
Uongezeke wewe
Hahahah, uongezeke wewe Mungu wangu

Uongezeke
Nashuka chini, ondoa kiburi ndani yangu
Ondoa kiburi ndani yangu

Mimi nipungue, wewe uinuliwe
Mimi nipungue, wewe uinuliwe
Mimi nipungue, wewe uinuliwe
Mimi nipungue, wewe uinuliwe


UONGEZEKE YESU Video

UONGEZEKE YESU  Lyrics -  Boaz Danken

Boaz Danken Songs

Related Songs