Haufananishwi

Haufananishwi Lyrics

Wewe ni Mungu, mpasua bahari 
Haufananishwi na kitu kingine 
Haufananishwi na kitu kingine   .

Wewe ni Mungu, mtuliza mawimbi 
Haufananishwi na kitu kingine 
Haufananishwi na kitu kingine 
(rudia toka juu)
Unafanya mambo ambayo 
Mwanadamu hawezi kufanya 
Unatoa faraja ambayo 
Mwanadamu hawezi toa 
(rudia)
Haufananishwi na kitu kingine 
Haufananishwi na kitu kingine   .

Si mwepesi wa hasira 
Unaghairi mabaya 
Haufananishwi na kitu kingine 
Haufananishwi na kitu kingine   .

Mungu mwenye wivu 
Unatunza maagano 
Haufananishwi na kitu kingine 
Haufananishwi na kitu kingine   .

Katikati ya gadhabu
Unakumbuka rehema 
Haufananishwi na kitu kingine 
Haufananishwi na kitu kingine   .

Unafanya mambo ambayo 
Mwanadamu hawezi kufanya 
Unatoa faraja ambayo 
Mwanadamu hawezi kutoa 
(rudia x4) 
Haufananishwi na kitu kingine 
Haufananishwi na kitu kingine  


Top Songs United States
Share:

Write a review/comment/correct the lyrics of Haufananishwi:

75 Comments/Reviews

 • Joy

  A very powerful song 3 days ago

 • Kamau Mwangi

  This song lifts up my soul 3 days ago

 • Susan

  This song was composed and sung by a person who had encounters with the Lord...I pray that I may grow in worshipping the Lord in deep revelation and understanding.hallelujah 6 days ago

 • Roselyn Kisache

  Kweli haufananishwi na kitu kingine 1 week ago

 • Kennedy Ngutuku

  God song 1 week ago

 • BETTY TANUI

  Anafanya mambo ambayo wanadamu hawawezi kufanya.... a great God indeed. God bless you team 1 week ago

 • Robinson

  this is not just a worship 1 week ago

 • Titus

  This is a powerfull worship on earth. 2 weeks ago

 • Sheerow

  Hii nyimbo yanitia nguvu sana

  2 weeks ago

 • Stephen Mutyota

  I love this song..Anatoa faraja ambayo mwanadamu hawezi 3 weeks ago