Kuna Nguvu Lyrics

Christopher Mwahangila swahili

Chorus:
Kuna Nguvu Hoo Nguvu Kuna Nguvu Ya Ajabu Hapa

Kuna Nguvu Video

Buy/Download Audio

Kuna Nguvu Lyrics

Kuna Nguvu Hoo Kuna Nguvu, Nguvu Ya Ajabu Hapa 

Yesu Na Jeshi Lake Yupo 
Yesu Na Nguvu Zake Yupo
Mungu Mzima Mzima Yupo
Mungu Na Nguvu Zake Yupo

Hoo Viwete Wanatembea,Viziwi Wanasikia Vipofu Wanaona
Wenye Magonjwa Wanapona
Wenye Vifungo Hufunguliwa
Wenye Matatizo Mbalimbali Mungu Hukutana Nao

Hoo Kuna Nguvu Hoo Nguvu Kuna Nguvu Ya Ajabu Hapa 
Kuna Nguvu Hoo Nguvu Kuna Nguvu Ya Ajabu Hapa 
Kuna Nguvu Hoo Nguvu Kuna Nguvu Ya Ajabu Hapa  

Wakati Ya Yule Mgonjwa Aliyepooza Miaka Thelatini Na Nane 

Yesu Akamjia Akasema Je We Wataka Kupona 
Akasema Sina Mtu Wa kunitia Birikani Maji Yanapotivuliwa
Pilika Limetivuliwa Hoo Nguvu Ya Mungu Iko Hapa 

Hoo Kuna Nguvu Hoo Nguvu Kuna Nguvu Ya Ajabu Hapa 
Kuna Nguvu Hoo Nguvu Kuna Nguvu Ya Ajabu Hapa 
Kuna Nguvu Hoo Nguvu Kuna Nguvu Ya Ajabu Hapa  

Mapepo Yanakimbia,Wachawi Wanakimbia 
Vimbwembwe Vinakimbia, Umbu Ya Ajabu Hapa
Vizimu Vinakimbia,Miungu Inakimbia Shetani anakimbia Mungu Ya Ajabu Hapa