Mbele Yangu Naona Ushindi
Mbele Yangu Naona Ushindi
Japo Vita Kwa Sasa Ni Kubwa Naona Ushindi
Japo Maadui Ni Wengi Naona Ushindi
Kweli Wanaokatisha Tamaa Ni Wengi Sana
Yanayonifanya Nishindwe Ni Mengi Sana
Linaloghairi Na Kuja Lingine
Lakini Ndani Yangu Nasikia Msukumo Ya Kwammba Mimi Ni Mshindi
Bado Liko Tumaini Kwa Mti Uliokatwa
Kwama Unaweza,,Unaweza Jipua Tena
Bado Liko Tumaini Kwa Mti Uliokatwa
Kwama Unaweza,,Unaweza Jipua Tena
Nami Nitashindaaa Na Zaidi Ya Kushindaa
Mbele Yangu
Mbele Yangu Naona Ushindi
Mbele Yangu Naona Ushindi
Japo Vita Kwa Sasa Ni Kubwa Naona Ushindi
Japo Maadui Ni Wengi Naona Ushindi
Ilikuwa Vigumu Sana Kwa Wafilisti
Kuua Mpago Wa Mungu Ndani Ya Samsoni
Walijaribu Sana Wakapambana sana Waue Mpago Wa Mpago Wa ungu Ndani Ya Samsoni,Hawakujua Alichakuliwa,Hawakujua Ni Mnasiri Wa Mungu
Ni Ngunu Sana Watu Kujua Mpango Ya Mungu Ndani kwako
Ni Ngunu Sana Kujua Mungu amekuchakua
Ni Ngunu Sana Kujua Mungu amekuchakua
Usife Moyo
Usifunjike Moyo Simama Na Mungu Wewe Ni Mshindi
Usife Moyo
Usikate Tamaa
Usirudiswe Nyuma Wewe Ni Mshindi
Mbele Yangu Naona Ushindi
Mbele Yangu Naona Ushindi
Japo Vita Kwa Sasa Ni Kubwa Naona Ushindi
Japo Maadui Ni Wengi Naona Ushindi
Mbele Yangu Naona Ushindi
Mbele Yangu Naona Ushindi
Japo Vita Kwa Sasa Ni Kubwa Naona Ushindi
Japo Maadui Ni Wengi Naona Ushindi
Umeugua Sana Na Una Madaktari Wa Kila Aina
Na Hakuna Dawa Wewe Usiotumia
Na Dawa Zingine Kila Mahali Waenda Nazo
Na Wakanga Wa Kienyeji Wamekufanya Mtaji Wao
Kuna Matatizo Makubwa Kuelezea Watu Waona Aibu
Na Maadui Zako Wanatangaza Unanuka leo Siku Ya Nne
Nawe Unaona Umefika Mwisho,Mwisho Wa Mawazo Yako Ni Mwanzo Wa Mungu
Ni Kweli Leo Hauna Senti Mfukoni,Wanakucheka
Kesho Yaacha Utakopesha
Ni Kweli Leo Mjinga Mbele Zao
Kesho Yaacha Watakuheshimu
Mbele Yangu Naona Ushindi
Mbele Yangu Naona Ushindi
Japo Vita Kwa Sasa Ni Kubwa Naona Ushindi
Japo Maadui Ni Wengi Naona Ushindi