Sifa Lyrics

Tunaye Mungu Anayejibu by Sifaeli Mwabuka cover art

Sifaeli Mwabuka - Tunaye Mungu Anayejibu Lyrics

Artist:
Sifaeli Mwabuka
Album:
Tunaye Mungu Anayejibu - Single
Official Release:
01 Mar 2018

Lyrics

Tunaye huyu Mungu tunaye
Tunaye anayejibu maombi yetu
Tunaye huyu Mungu tunaye
Tunaye anayejibu maombi yetu


Tunaye huyu Mungu tunaye
Tunaye anayejibu maombi yetu
Tunaye huyu Mungu tunaye
Tunaye anayejibu maombi yetu


Walijua tuna Mungu tulipopita kwenye majaribu
Hayo mawazo yao
Walisema tuna imani huku malipo yatusonga sana 
Hayo mawazo yao


Walijua tuna Mungu tulipopita kwenye majaribu
Hayo mawazo yao
Walisema tuna imani huku malipo yatusonga sana 
Hayo mawazo yao


Hawakujua jaribu letu ni la kitambo kidogo
Mungu wetu ni mwema
Hawakujua Mungu wetu yeye hawahi wala kuchelewa
Ni yeye baba 


Waambie baba wajue wewe upo 
Waambie baba wajue unatupenda 
Waambie baba wajue wewe upo 
Waambie baba wajue unatupenda 


Tunaye huyu Mungu tunaye
Tunaye anayejibu maombi yetu
Tunaye huyu Mungu tunaye
Tunaye anayejibu maombi yetu


Tunaye huyu Mungu tunaye
Tunaye anayejibu maombi yetu
Tunaye huyu Mungu tunaye
Tunaye anayejibu maombi yetu


Ayubu alipojaribiwa 
Watu wengi wakainuka wakasema ametenda dhambi
Ndugu na jamaa walipomwona Ayubu
Alipopitia mengi wakasema amemwacha Mungu


Ayubu alipojaribiwa 
Watu wengi wakainuka wakasema ametenda dhambi
Ndugu na jamaa walipomwona Ayubu
Alipopitia mengi wakasema amemwacha Mungu


Mke wake naya akasema kufuru Mungu ufe Ayubu
Ndugu na jamaa nao wakainuka na kusema
Ayubu umetenda dhambi


Mke wake naya akasema kufuru Mungu ufe Mungu wangu
Ndugu na jamaa nao wakainuka na kusema
Ayubu umetenda dhambi


Ayubu akanyamaza kimya
Akamwacha bwana asimame amtetee mwenyewe
Ayubu alijua yupo Mungu
Anayempitisha hayo ili kumwongezea imani
Ayubu akanyamaza na kusema
Labda Mungu ashuke aseme mwenyewe
Mungu nayemwamini


Tunaye huyu Mungu tunaye
Tunaye anayejibu maombi yetu
Tunaye huyu Mungu tunaye
Tunaye anayejibu maombi yetu


Tunaye huyu Mungu tunaye
Tunaye anayejibu maombi yetu
Tunaye huyu Mungu tunaye
Tunaye anayejibu maombi yetu
 


Video