Namsubiria Baba Lyrics

Sifaeli Mwabuka swahili

Chorus:
Yahweh namsubiria Baba
Yahweh namsubiria Baba
Ninajua atatenda (namsubiria Baba)
Ninajua atajibu (namsubiria Baba)
Kwenye shida zangu (namsubiria Baba)
Kwenye taabu zangu (namsubiria Baba)
Yahweh namsubiria Baba

Namsubiria Baba Video

Namsubiria Baba Lyrics

Yahweh namsubiria Baba 
Yahweh namsubiria Baba 
Ninajua atatenda (namsubiria Baba) 
Ninajua atajibu (namsubiria Baba)
Kwenye shida zangu (namsubiria Baba) 
Kwenye taabu zangu (namsubiria Baba) 
Yahweh namsubiria Baba 

Twende nako Mwanza (nale nindela Baba) 
Wasukuma na waseme (nale nindela Baba) 
Wanamsubiri (nale nindela Baba) 
Wanajua atatenda (nale nindela Baba) 
Wanajua atajibu (nale nindela Baba) 
Yahweh (nale nindela Baba) 
Yahweh (nale nindela Baba) 

Twendeni kigoma (kamtegee Baba) 
Wahana na waseme (kamtegee Baba) 
Kamtegee (kamtegee Baba) 
Wahana na waseme (kamtegee Baba) 
Wanamsubiri Yesu (kamtegee Baba) 
Kwenye shida zao (kamtegee Baba) 
Wanamngoja Baba (kamtegee Baba) 

Wanyakyusa wanasema (muvu kulila tata) 
Wanasema kilugha chao (muvu kulila tata) 
Twendeni Mbea (muvu kulila tata) 
Tuwakute wasakwa (muvu kulila tata) 
Wanyakyusa wote (muvu kulila tata) 
Wanamsubiri Baba (muvu kulila tata) 
Kwenye taabu zao (muvu kulila tata) 
Wanamngoja Baba (muvu kulila tata) 

Wanyatulu nao (nimuimbie tata) 
Twendeni Singida (nimuimbie tata) 
Nao wasema (nimuimbie tata) 
Nimuimbie tata (nimuimbie tata) 
Yahweh (nimuimbie tata) 
Yahweh (nimuimbie tata) 
Wanyatulu waseme (nimuimbie tata) 
Twendeni Singida (nimuimbie tata) 

Ninamsubiri Baba (namsubiria Baba) 
Namsubiri Yesu (namsubiria Baba) 
Ninajua atatenda (namsubiria Baba) 
Ninajua atajibu (namsubiria Baba)
Kwenye shida zangu (namsubiria Baba) 
Kwenye taabu zangu (namsubiria Baba) 
Yahweh namsubiria Baba