Sifaeli Mwabuka - Nivushe- Je Uko Tayari? Lyrics
Lyrics
Ninao ujumbe kutoka kwa mungu Ninao ujumbe kutoka kwa Baba Ninao ujumbe nimepewa na mungu mwenyewe Ninao ujumbe umetoka kwa Baba Jehovah Nimeleta ujumbe Ujumbe niliopewa ni kwaajiri yako ooh Ujumbe nilioagizwa nivushe ng’ambo nyrngine eeh Ujumbe niliopewa ni kwaajiri yako ooh Ujumbe nilioagizwa nivushe ng’ambo nyrngine eeh Nimeleta ujumbe
Kwamba huzuni yako mungu ameiyona Ni kwamba kilio chako mungu amekisikia aah Ni kwamba mateso yako oh, mungu ameyaona aah Ni kwamba msiba wako mungu ameusikia aah Ni kwamba magonjwa yako mungu ameyaona aah Mungu anataka akuvushe ng’ambo nyengine eeh Mungu anataka aifute aibu yako Mungu anataka akuvushe ng’ambo nyengine aah Mungu anataka aifute aibu yako yeah Nimeleta ujumbe Utoke kwenye kilio, uwende kwenye kicheko Utoke kwenye magonjwa aah, uwende kwenye afya aah Utoke kwenye umauti Uwende kwenye uzima Utoke kwenye mzigo Uwende kwenye sherehe eeh Nimeleta ujumbe
Je uko tayari, kwenda ng’ambo nyengine (amin) Je uko tayari, umwambie Baba (amin) Je uko tayari, kwenda ng’ambo nyengine (amin) Je uko tayari, umwambie Baba (mwambie eeh) Univushe eeh Niende ng’ambo nyengine (ooh ng’ambo nyengine eeh) Univushe eeh (mwambie Baba) Niende ng’ambo nyengine (mateso sio sehemu yako) Univushe eeh (mwambie eeh) Niende ng’ambo nyengine (umasikini sio ndoto yako) Univushe eeh (mwambie Baba) Niende ng’ambo nyengine (ng’ambo ya Baraka zako ooh) Univushe eeh (mwambie Baba) Niende ng’ambo nyengine (ng’ambo ya muujiza wako ooh) Univushe eeh (mwambie Baba) Niende ng’ambo nyengine (ooh akuvushe eeh)
Ooh habari za kale mungu ameshasahau Lengo lake eeh, akufanye kiumbe kipya Habari za kudharauliwa mungu ameshasahau Lengo lake eeh, akuletee heshima Habari za kudharauliwa mungu ameshasahau Lengo lake eeh, akupatie kibali Habari za umasikini, mungu ameshasahau Lengo lake eeh, anataka kubariki Habari za utasa aah, mungu ameshasahau Lengo lake eeh, akupatie mtoto ooh Habari za upweke wako mungu ameshasahau Lengo lake Baba aah, akupatie mwenza wako ooh Nimeleta ujumbe
Je uko tayari, hebu mwambie Baba (amin) Je uko tayari, kwenda ng’ambo nyengine (amin) Je uko tayari, hebu mwambie Baba (amin) Je uko tayari, kwenda ng’ambo nyengine (mwambie eeh) Univushe eeh Niende ng’ambo nyengine (ooh ng’ambo nyengine eeh) Univushe eeh (mwambie Baba) Niende ng’ambo nyengine (mateso sio sehemu yangu) Univushe eeh (mwambie eeh) Niende ng’ambo nyengine (umasikini sio ndoto yangu) Univushe eeh (mwambie Baba) Niende ng’ambo nyengine (ng’ambo ya Baraka zako ooh) Univushe eeh (mwambie Baba) Niende ng’ambo nyengine (ng’ambo ya muujiza wako ooh) Univushe eeh (mwambie Baba) Niende ng’ambo nyengine (ooh akuvushe eeh)
Mwambie eeh Univushe eeh Niende ng’ambo nyengine (ooh ng’ambo nyengine eeh) Univushe eeh (mwambie Baba) Niende ng’ambo nyengine (mateso sio sehemu yako) Univushe eeh (mwambie eeh) Niende ng’ambo nyengine (umasikini sio ndoto yako) Univushe eeh (mwambie Baba) Niende ng’ambo nyengine (ng’ambo ya Baraka zako ooh) Univushe eeh (mwambie Baba) Niende ng’ambo nyengine (ng’ambo ya muujiza wako ooh) Univushe eeh (mwambie Baba) Niende ng’ambo nyengine (ooh akuvushe eeh)
Video
GOSPEL LYRICS-NIVUSHE- JE UKO TAYARI? BY SIFAELI MWABUKA