Sifa Lyrics

Najikakamua by Mbuvi cover art

Mbuvi - Najikakamua Lyrics

Artist:
Mbuvi

Lyrics

Eti Wewe Wanipenda,


Eti Wewe Ulinifia,


Eti Wewe Wanijali,


Eti Wewe, Eti Wewe,


Wahenga Walinena,


 Mgaagaa na Upwa,


Hali Wali Mkavu.


Lakini Lolote nifanyalo,


Hili Lile,


Faida Ni Bure.


Nimeona Sijiweze,


Nimebaki Upweke,


Mwenda Tenzi na Omo,


Marejeo Ngamani.


Chorus


Nitajikakamua,


Niliite Jina lako Baba.


(Nikwite Baba),


Kwani najua Kilio Changu Wewe,


Utakisikia.


(Tasikia),


Naja, Naja,


Niokoe na Janga la Mauti.


Neno Lako Lasema,


Ndani Lako ni Zaidi Ya Mshindi,


Basi Naja nilivyo,


Sijiweze Niokoe,


Nichukue, Nibariki,


Nifinyange, Nibadilishe,


Niwe Upendavyo.


Chorus


 Nitajikakamua,


Niliite Jina lako Baba.


(Nikwite Baba),


Kwani najua Kilio Changu Wewe,


Utakisikia.


(Tasikia),


Naja, Naja,


Niokoe na Janga la Mauti.


Vamp


Aaaaaaah


 Nikwite Baba


Aaaaaah


Tasikia


Chorus


Nitajikakamua,


Niliite Jina lako Baba.


(Nikwite Baba),


Kwani najua Kilio Changu Wewe,


Utakisikia.


(Tasikia),


Naja, Naja,


Niokoe na Janga la Mauti.


Video