Sifa Lyrics

Kuna Namna (There's A Way) by Mercy Masika cover art

Mercy Masika - Kuna Namna (There's A Way) Lyrics

Artist:
Mercy Masika

Lyrics

Kuna aina za upendo aina nyingi 


Lakini upendo wako ndio halisi


Kuna haina za utukufu, aina nyingi 


Lakini wako ni mkuu na wa milele 


Kuna aina pia za miungu 


Lakini wewe ni Mungu mkuu aliye hai


Nimekujua nimetosheleka 


Nimekujua nimekupenda 


Kuna namna, kuna namna unatupenda 


(There's way you love us)


Inabidii Yesu nikupenda 


(I have to love You Jesus)


Kuna namna, kuna namna unatutenda 


(There's way you do for us)


Inabidii Yesu nikupende 


Hukututenda sawasawa na njia zetu 


Wala hukutulipa kwa maovu yetu 


Umeniokoa mtegoni wa muindaji 


Kwa manyoya umenifunika niko salama 


Nimekujua nimetosheleka 


Nimekujua nimekupenda 


Ujana wangu umerejeshwa pia 


Kuna namna, kuna namna unatupenda 


Inabidii Yesu nikupenda 


Kuna namna, kuna namna unatutenda 


Inabidii Yesu nikupende 


Video