Sifa Lyrics

Mwambie anakuangalia wewe by Mbuvi cover art

Mbuvi - Mwambie anakuangalia wewe Lyrics

Artist:
Mbuvi

Lyrics

Mwambie mwambie mwambie
Shida Shida za Dunia Zinakuhangaisha
Watu unaowatazamia wanakuzungusha
Hakuna msaada kamili utapata kwao
ni bora uachane nao


Kama umelala njaa,
umefukuzwa nyumba
kwa sababu huna pesa
sikiza nikwambie


Mungu anakuangalia wewe
anakutangulia mbele
anakungojea wewe
weweee


Mungu anakuangalia wewe
anakutangulia mbele
anakungojea wewe
weweee


Kama una shidaa (mwambiee)
usione hayaa (mwambiee)
atakusikia (mwambiee)
mwambie yeye
Na kama majaribu (mwambiee)
unayopitia (mwambie)
atakusikia


@Mbuvi Mbuvi - Mwambie -Tell Him


Na ukipata shukuru, akijibu Mungu
Akikawia Subiri usije kufuru


umelala njaa,
umefukuzwa nyumba
kwa sababu huna pesa
sikiza nikwambie


Mungu anakuangalia wewe
anakutangulia mbele
anakungojea wewe
weweee


Mungu anakuangalia wewe
anakutangulia mbele
anakungojea wewe
weweee


Yuko kwa ajili yako (mwambie)
ushindi wako (mwambie)
Tumaini lako (mwambie)
msaada wako (mwambie)
mwambieeeeeeeeeeee.


Video