Lyrics
Kama umenifikisha hapa
Akiwalaii unanipenda
Baba wee ndo wangu Defender
Unaniweka kwa calendar
Nilitembea gizani ukaweka mwanga
Nililia usiku ukaweka furaha
Nilikosa nguvu ukaongeza stamina
Sasa kila siku nacheza Hallelujah
Nilipokua chini uliniinua
Nilipo potea uliniokoa
Sasa mimi ni wako ni wewe tu
Aki Bwana wee ni mwamba wangu
Kama umenifikisha hapa
Akiwalaii unanipenda
Baba wee ndo wangu Provider
Unaniweka kwa calendar
Unanipenda (Ndio)
Unanilinda (Ndio)
Unaniongoza milele
Akiwalaii eeeh
Unanipenda mileleee
Kama umenifikisha hapa
Akiwalaii unanipenda
Baba wee ndo wangu Defender
Unaniweka kwa calendar
Nilitembea gizani ukaweka mwanga
Nililia usiku ukaweka furaha
Nilikosa nguvu ukaongeza stamina
Sasa kila siku nacheza Hallelujah
Nilipokua chini uliniinua
Nilipo potea uliniokoa
Sasa mimi ni wako ni wewe tu
Aki Bwana wee ni mwamba wangu
Kama umenifikisha hapa
Akiwalaii unanipenda
Baba wee ndo wangu Provider
Unaniweka kwa calendar
Unanipenda (Ndio)
Unanilinda (Ndio)
Unaniongoza mileleee
Akiwalaii eeeh
Unanipenda
Mileleee
Mileleee