Sifa Music - Hebu Nieleze Kwa Sauti Ya Upole Lyrics

Lyrics

Here are the lyrics to the song Hebu Nieleze:

Hebu nieleze kwa sauti ya upole
Akili zangu zikuelewe
Rudia rudia kama vile kwa mtoto
Nisisahau neno lako

Hebu nieleze kwa sauti ya upole
Akili zangu zikuelewe
Rudia rudia kama vile kwa mtoto
Nisisahau neno lako

Bwana nieleze kile kilichokufanya
Ukaja hapa wakati ule
Vyote vya mbinguni hukuyaona kitu
Ukaja ishi na viumbe vyako

Hebu nieleze kwa sauti ya upole
Akili zangu zikuelewe
Rudia rudia kama vile kwa mtoto
Nisisahau neno lako

Hebu nieleze kwa sauti ya upole
Akili zangu zikuelewe
Rudia rudia kama vile kwa mtoto
Nisisahau neno lako

Walipokusulubisha pale msalabani
Hakuna aliyekusaidia
Ukafa kifo cha uchungu na aibu
Kwa dhambi iliyokuwa yangu

Hebu nieleze kwa sauti ya upole
Akili zangu zikuelewe
Rudia rudia kama vile kwa mtoto
Nisisahau neno lako

Hebu nieleze kwa sauti ya upole
Akili zangu zikuelewe
Rudia rudia kama vile kwa mtoto
Nisisahau neno lako

Zidi kunionyesha ubaya wa dhambi
Najua ndio iliyokuwa
Na nigeukapo na kutenda dhambi
Bwana nirudi kwa fimbo yako

Hebu nieleze kwa sauti ya upole
Akili zangu zikuelewe
Rudia rudia kama vile kwa mtoto
Nisisahau neno lako

Hebu nieleze kwa sauti ya upole
Akili zangu zikuelewe
Rudia rudia kama vile kwa mtoto
Nisisahau neno lako

Video

BWANA NIELEZE // MSANII MUSIC GROUP

Thumbnail for Hebu Nieleze Kwa Sauti Ya Upole  video
Loading...
In Queue
View Lyrics