Sifa Lyrics

Bwana ni Nguvu yangu by Sifa Music cover art

Sifa Music - Bwana ni Nguvu yangu Lyrics

Artist:
Sifa Music

Lyrics

Bwana ni nguvu yangu,
Na Ngao yangu
Wokovu wangu


Pazeni Sauti,
Shangwe na nderemo
Tumshangilie ehhh….,
Yesu ni wetu


Milele na milele,
Amemshinda shetani,
Tumshangilie ehhh
Bwana ni wetu


Video