Zoravo + Joel Lwaga - Umenitoa Mbali Lyrics

Album: Umenitoa Mbali (Ningekuwa Wapi) [feat. Joel Lwaga] - EP
Released: 04 Jan 2026
iTunes Amazon Music

Lyrics

Here are the lyrics for "Umenitoa Mbali" by Zoravo featuring Joel Lwaga:

[Chorus: Choir & Zoravo] Umenitoa mbali Siwezi kueleza Umenipa kibali Siwezi kueleza (Repeats)

[Verse 1: Zoravo] Kama si neema yako, Bwana (Ningekuwa wapi leo?) Kama si huruma yako, mimi kweli (Ningekuwa wapi leo?) Kama si msamaha wako, Bwana (Ningekuwa wapi leo?) Na kama si upendo wako, wewe (Ningekuwa wapi leo?)

[Chorus: Choir, Zoravo & Joel Lwaga] Umenitoa mbali Siwezi kueleza Umenipa kibali Siwezi kueleza (Repeats)

[Verse 2: Joel Lwaga] Kama si neema yako, we Bwana (Ningekuwa wapi leo?) Na kama si huruma yako, mimi Joel (Ningekuwa wapi leo?) Na kama si msamaha wako, Bwana (Ningekuwa wapi leo?) Na kama si kibali chako, we Bwana (Ningekuwa wapi leo?)

[Vamp: Choir, Zoravo & Joel Lwaga] Ningekuwa wapi leo? (Ningekuwa wapi leo?) Ningekuwa wapi leo? (Ningekuwa wapi leo?) Ningekuwa wapi leo? (Ningekuwa wapi leo?) (Repeats with ad-libs)

[Chant: Choir] Ooooh, ooooh, ooooh... Ooooh, ooooh, ooooh...

[Bridge: Zoravo & Joel Lwaga] Kama isingekuwa ni neema yako Kama isingekuwa ni neema yako Kama isingekuwa ni neema yako Kama isingekuwa ni neema yako (Repeated back and forth)

[Bridge 2: Zoravo, Joel Lwaga & Choir] Kama isingekuwa ni neema yako Huruma yako Msamaha wako!

Kama isingekuwa ni neema yako Huruma yako Msamaha wako! (Repeats)

[Outro / Spoken Word: Zoravo] Uhai, pumzi uliyonayo, afya njema, maisha uliyonayo... Sio kwa sababu unaamka kila siku asubuhi mapema. Sio kwa sababu unasoma. Sio kwa sababu una kipawa. Sio kwa sababu una mke mzuri au una mume mzuri. Sio kwa sababu una wazazi wazuri ama una watoto wazuri.

Everything that we have, kila tulichonacho, ni neema ya Mungu! Maisha yako ukiitoa neema ya Mungu, hayana maana kabisa... Ni Neema Yake tu.

Video

Zoravo Ft Joel Lwaga - Umenitoa Mbali (Official Live Video)

Thumbnail for Umenitoa Mbali video
Loading...
In Queue
View Lyrics