Sifa Lyrics

Nimekombolewa by Neema Gospel Choir cover art

Neema Gospel Choir - Nimekombolewa Lyrics

Artist:
Neema Gospel Choir
Album:
Worship in Spirit Mixtape (1St Edition) [Live]
Official Release:
24 Apr 2026

Lyrics

Verse 1
Nimekombolewa Bwana Yesu
Aliyenirehemia
Kwa bei ya mauti yake
Nimekuwa mtoto wake


Nimekombolewa Bwana Yesu
Aliyenirehemia
Kwa bei ya mauti yake
Nimekuwa mtoto wake


Chorus
Kombolewa
Nakombolewa na damu ya Yesu
Oh kombolewa
Mimi mwana wa kweli


Kombolewa
Nakombolewa na damu ya Yesu
Oh kombolewa
Mimi mwana wa kweli


Verse 2
Nimekombolewa nafurahi
Kupita lugha kutamka
Ulionyesha pendo lake
Nimekuwa mtoto wake


Nimekombolewa nafurahi
Kupita lugha kutamka
Ulionyesha pendo lake
Nimekuwa mtoto wake


Chorus
Kombolewa
Nakombolewa na damu ya Yesu
Oh kombolewa
Mimi mwana wa kweli


Kombolewa
Nakombolewa na damu ya Yesu
Oh kombolewa
Mimi mwana wa kweli


(Chorus Repeats)


Verse 3
Nitaona uzuri wake
Mfalme wangu wa ajabu
Na sasa ninafurahia
Katika neema yake


Nitaona uzuri wake
Mfalme wangu wa ajabu
Na sasa ninafurahia
Katika neema yake


Chorus
Kombolewa
Nakombolewa na damu ya Yesu
Oh kombolewa
Mimi mwana wa kweli


Kombolewa
Nakombolewa na damu ya Yesu
Oh kombolewa
Mimi mwana wa kweli


(Chorus Repeats to end)


Video