Sifa Lyrics

Mabilioni Ya Watu by Zoravo cover art

Zoravo - Mabilioni Ya Watu Lyrics

Artist:
Zoravo

Lyrics

Mabilioni ya watu
Yatakusanyika
Kusifu na kukuabudu
Mfalme wa wafalme
Mabilioni ya watu
Yatakusanyika
Kusifu na kukuabudu
Mfalme wa wafalme


Maelfu na maelfu
Yatashuka mbele zako
Yakiimba
Wimbo mpya
Halle, halleluyah
Maelfu na maelfu
Yatashuka mbele zako
Yakiimba
Wimbo mpya
Halle, halleluyah


(Mabilioni ya watu
Yatakusanyika
Kusifu na kukuabudu
Mfalme wa wafalme
Mabilioni ya watu
Yatakusanyika
Kusifu na kukuabudu
Mfalme wa wafalme
Mabilioni ya watu
Yatakusanyika
Kusifu na kukuabudu
Mfalme wa wafalme
Mabilioni ya watu
Yatakusanyika
Kusifu na kukuabudu
Mfalme wa wafalme)


(Maelfu na maelfu
Yatashuka mbele zako
Yakiimba
Wimbo mpya
Halle, halleluyah
Maelfu na maelfu
Yatashuka mbele zako
Yakiimba
Wimbo mpya
Halle, halleluyah
Maelfu na maelfu
Yatashuka mbele zako
Yakiimba
Wimbo mpya
Halle, halleluyah)


Halle, halle, halle
Halleluyah
Halle, halle, halle
halleluyah
Halle, halle, halle
halleluyah
Halle, halle, halle
halleluyah


(Halle, halle, halle
halleluyah
Halle, halle, halle
halleluyah
Halle, halle, halle
halleluyah
Halle, halle, halle
Halleluya
Halle, halle, halle
Halleluyah)


Video