Sifa Lyrics

Baba wa mbinguni nyosha mkono wako  by Pst Samuel cover art

Pst Samuel - Baba wa mbinguni nyosha mkono wako Lyrics

Artist:
Pst Samuel

Lyrics

Baba wa mbinguni nyosha mkono wako
watu wako waune, wakishauona
walisifu jina lako


Baba wa mbinguni nyosha mkono wako
watu wako waune, wakishauona
walisifu jina lako


Mungu wetu wa mbinguni nyosha mkono wako
watu wako waune, wakishauona
walisifu jina lako


Tunakuinua
Baba wa mayatima nyosha mkono wako
watu wako waune, wakishauona
walisifu jina lako


Tunanyenyekea
Mungu wetu wa mbinguni nyosha mkono wako
watu wako waune, walisifu
walisifu jina lako


Tunakuhitaji
Mungu wetu wa mbinguni nyosha mkono wako
watu wako waune, walisifu
walisifu jina lako
Ni wewe twakuinua
Tunakuheshimu


... @ PST. SAMWEL - Baba nyosha mkono wako


Video