Simu Lyrics - Goodluck Gozbert

Goodluck Gozbert swahili

Simu Lyrics

Haloo papa ni mimi mwanao 
Hii namb nimechukua Yeremiah hapa 
Inasema niite nitakuitikia 
Nitakuonyesha magumu usiyoyajua mwanangu  .

Haya leo simu yangu hii napiga kwa imani
Nakuomba sikiliza daddy 
Naumia moyoni, unaweza tunusuru na hili 
Manabii wale baba ungewaambia kuna corona 
Au tunadanganywa ni bandia wanayoona 
Je umekaa kimya ukitazama wanayofanya  .

Mbona mwaka jana walituambia huu ni 
Mwaka wa Bwana 
Tumekaa mwaka ulianza shwari 
Sasa hivi hatuelewi 
Kila saa alama ya hatari ni mbaya habari
Wamekufa saba walikufa sita  
Mara ooh mnadanganywa wamefika kumi  .

Wacha nisanitize 
Oh barakoa kigodo nisishike pua 
Mmh Wacha nisanitize 
Barakoa kigodo nisishike pua  .

Wakati nasubiri 
Heri matajiri tajiri 
Wanaweza kununua maski 
Wengine sis hizo bei zake 
Ndio tunategemea tule 
Mama mama muda wote ni pressure 
Maana watoto wake maisha ndo wanatafuta 
Kwa siku kupata kwa siku tumezoea   .

Usipotuhurumia wewe ndio tumekwisha 
Usipotuhurumia wewe ndio tumekwisha 
Niliongea na waombaji 
Nikawaambia tusiache kuomba 
Maana adui ametumia mabaya 
Mi nakuamini kuamini kuamini Baba  .

Wacha nisanitize 
Oh barakoa kigodo nisishike pua 
Mmh Wacha nisanitize 
Barakoa kigodo nisishike pua 


Simu Video