Sifa Lyrics

Acha Waambiane by Goodluck Gozbert cover art

Goodluck Gozbert - Acha Waambiane Lyrics

Artist:
Goodluck Gozbert

Lyrics

Acha waambiene wasemezane mabaya yako
Ila mema wa Mungu maishani mwako
Acha waambiene wasemezane mabaya yako
Ila mema wa Mungu maishani mwako


Usikate tamaa na yale unayoyaona, hata kama uko chini sana.
Najua wataambiana wewe ni masikini, lakini usichoke ipo siku watasema.
Najua wataambiana wewe hufai na umetembea na wanaume wengi.
Utakapofika wakati wa kuinuliwa aah, utashangaa wakiambiana tena
Eti yule mwana mama aliyekuwa ni kahaba, Ameolewa sasa ana familia.
Utasikia tena yule aliyekuwa kikaragosi, leo anatembelea gari.


Wataambiana eeh
Acha waambiene wasemezane mabaya yako
Ila mema wa Mungu maishani mwako
Acha waambiene wasemezane mabaya yako
Ila mema wa Mungu maishani mwako


Neno hili limekuwa la maana kwako lakini lina maana kubwa.
Waweza kuona wanadamu wanatembea kimya kimya.
Ila wametunza bei., usije kuona wanacheka nawe
Hujui moyoni wameweka nini. Unaweza ona wanakusalimia kwa
furaha zote ila kumbe wameshaambiana kwamba yule pale
Maana yule pale ni mrumba, eti yule pale alifeli kidato cha nne.
Na yule pale hana ada ya masomo.


Acha waambiene wasemezane mabaya yako
Ila mema wa Mungu maishani mwako
Acha waambiene wasemezane mabaya yako
Ila mema wa Mungu maishani mwako


Yule mrumba sasa amaezaa
Aliyefeli siku hizi ana degree,
Utasikia mengi na utamtukuza Mungu
Acha waambiane...


Acha waambiene wasemezane mabaya yako
Ila mema wa Mungu maishani mwako
Acha waambiene wasemezane mabaya yako
Ila mema wa Mungu maishani mwako


Video