Ruth Matete - Eloi Eloi Lyrics
Lyrics
All my life sijaona mwaminifu akikosa mkate All my life sijaona mwaminifu akikosa mkate Hai nimechoka na vicheko, hai nimechoka na dharau Sitojali hata jirani akipata kuniliko Baba niokoe, Baba nishikilie, Baba nisaidie, Baba nakuhitaji
Ni wako ni wako, nakwitaji ii Ni wako ni wako, usiniache Eloi Elohi lamasabakitani Eloi Elohi lamasabakitani
Najiuliza kwa nini wateule twapitia majanga Leo hii ni mimi kesho ni yule Ninaomba bila kuchoka, situation bado ni same Eloooi lamasabakitani, nakungojea Baba Sema nami niko hapa, sema nami sibanduki kamwe
Ni wako ni wako, nakwitaji ii Ni wako ni wako, usiniache Eloi Elohi lamasabakitani Eloi Elohi lamasabakitani
Uooh usiniache Baba aah, Usiniach nanaa nanaah Ni wako ni wako, nakwitaji ii Ni wako ni wako, usiniache Eloi Elohi lamasabakitani Eloi Elohi lamasabakitani
Unikumbuke Baba usiniwache
Mimi wako Baba ninaomba
Eloi Eloi ...
Video
Ruth Matete - Eloi Eloi