Uliniumba Baba ukanipenda
Ukaiosha dhambi nilizotenda
kaniongoza kote ninakoenda
kweli baba wewe mwaminifu
Wewe ni mwaminifu
Wakati adui waliniandama
Kifo kaniacha mimi yatima eeh
Uliniinua mimi nikasimama
Kweli Baba wewe ni mwaminifu
Upendo wako Baba
Hauna kipimo
Uzuri wako Baba hauna kikomo
Uinuliwe Baba uabudiwe
Usujudiwe Baba uabudiwe