Sifa Lyrics

Nipandishe by Guardian Angel cover art

Guardian Angel - Nipandishe Lyrics

Artist:
Guardian Angel

Lyrics

Mbiu uya migambo ikilia kuna jambo
Nami nalia kwasababu nina jambo
Hali ya dunia inanionyesha mambo
Njoo tembea nami hapa kando


Ee mkono wako unafikia watu kila sehemu
Naomba Bwana uje unirehemu
Uje unirehemu hii milima Yesu nipandishe


Eee Bwana uniinue
Kwa imani nisimame
Nipande milima yote
Ee Bwana unipandishe


Eee Bwana uniinue
Kwa imani nisimame
Nipande milima yote
Ee Bwana unipandishe


Ee mkono wako unafika kila pande bwana
Unafika kila sehemu
Unabadilisha maisha ya kila binadamu bwana
Machali na mademu


Wale wamegive up kwa love na wanakuhitaji Bwana
Najua utawarehemu
Wahisi maisha yao yako same
Ila bwana uwabadilishe


Eee Bwana uniinue
Kwa imani nisimame
Nipande milima yote
Ee Bwana unipandishe


Eee Bwana uniinue
Kwa imani nisimame
Nipande milima yote
Ee Bwana unipandishe


Mbele nina endelea
Ninazidi kutembea
Maombi uyasikie
Ee Bwana unipandishe 


Eee Bwana uniinue
Kwa imani nisimame
Nipande milima yote
Ee Bwana unipandishe


Eee Bwana uniinue
Kwa imani nisimame
Nipande milima yote
Ee Bwana unipandishe


Ukinipandisha mi nakuahidi
Nitafanya, fanya kazi fanya
Fanya kazi fanya, kazi ya Bwana
Nitafanya, fanya kazi fanya
Fanya kazi fanya, kazi ya Bwana


Ukiniinua mimi nita
Nitafanya, fanya kazi fanya
Fanya kazi fanya, kazi ya bwana
Nitafanya, fanya kazi fanya
Fanya kazi fanya, kazi ya bwana


Video