Walter Chilambo - Nobody Lyrics

Album: Nobody - Single
Released: 20 Feb 2022
iTunes Amazon Music

Lyrics

Love Music

Aaaaah ye ye oh Aaaaah ye ye oh Ee Bwana nikupe nini Juu ya furaha ya moyo wangu Unavyonipenda namna hii Bwana umegusa moyo wangu Najiuliza maswali Hivi umeona nini kwangu? Maana mi ni wa dhambi Iweje ukae ndani yangu Ni upendo wa ajabu Kunichagua mimi Watazama nini kwangu Kilicho ndani kamili aah aah Almighty God Mbona sistahili Kuna namna nakutafakari Ulivyo na sivyo Nashindwa kuelewa

Nobody loves me like you do (nobody) Nobody cares for me like you do (nobody) Hakuna anaefanya zaidi ufanyavyo Nobody loves me like you do (do do do)

Aaah ey ey oh nina sadiki wewe ni Mungu Aaah ey ey oh Mungu wa kweli Aaah ey ey oh ungu baba uinuliwe Aaah ey ey oh Nobody No, Nobody No Nobody No, Nobody No

Uzamapo moyoni Wangu unaona Siri Udhaifu wa ndani yangu Bado unanisitili Ona damu yako inanisafisha Na kunitakasa Pale nashindwa kabisa unanikamata Mpaka naogopa Ni upendo wa ajabu We kunichagua mimi Watazama nini kwangu? Kilicho ndani kamili aah Almighty God Mbona sistahili Kuna namna na kutafakari ulivyo na sivyo (Nashindwa kuelewa)

Nobody loves me like you do Nobody cares for me like you do Hakuna anaefanya zaidi ya ufanyavyo Nobody loves me like you do (do do do)

Aaah ye ye ye ninasaidiki wewe ni Mungu Aaah ye ye ye Mungu wa kweli Aaah ye ye ye Mungu baba uinuliwe

Nobody No, Nobody No Nobody like, nobody Nobody like you Lord Nobody like Nobody like you Like you do Nobody cares for me like you do Nobody No, Nobody No

Video

Walter Chilambo - Nobody (Official Music Video)

Thumbnail for Nobody video
Loading...
In Queue
View Lyrics