Sifa Lyrics

Mapenzi Ya Milele by Walter Chilambo cover art

Walter Chilambo - Mapenzi Ya Milele Lyrics

Artist:
Walter Chilambo
Album:
Ushuhuda
Official Release:
16 May 2022

Lyrics

Mapenzi ya milele ndio yanipendezayo
Yalinipenda mbele sina fahamu nayo
Sasa Amani yake tele rohoni mwangu
Mimi kuwa wake na yeye kuwa wangu
Mimi kuwa wake  [aaah] na yeye kuwa wangu


Mbingu zina ng’ara juu  na nchi nayo vivyo
Macho ya dunia tu  hayajaona hivo
Mbingu zina ng’ara juu  na nchi nayo vivyo
Macho ya dunia tu  hayajaona hivo
Ndo maana na ng’ang’ana na pendo lako la milele


Aaah  Nitakupenda milele  nitakupenda milele
Nitakupenda milele  nitakupenda milele
Nitakupenda milele yote  yahwe
Nitakupenda miele yote


We ni bwana wa fadhili zangu mbele  umenitangulia
waziongoza njia zangu  mi nisije angamia
Kinywa changu kimejawa sifa zakoza
Fahamu zangu umetawala peke yako
Moyo wangu umebali we ni rafiki wa karibu
[hufananishwi]  unanipendeza wewe
Mkamilifu  we ni mwaminifu bwana  uwe kwangu mwamba wangu bwana
Mkamilifu  we ni mwaminifu bwana  uwe kwangu mwamba wangu bwana


Mbingu zina ng’ara juu  na nchi nayo vivyo
Macho ya dunia tu  hayajaona hivo
Mbingu zina ng’ara juu  na nchi nayo vivyo
Macho ya dunia tu  hayajaona hivo


Mmmh  Nitakupenda  milele  nitakupenda milele
Nitakupenda milele  nitakupenda milele
(Kama ulivyo nipenda yesu)   Nitakupenda
(Nami nitakupenda wewe) milele
Nitakupenda milele   nitakupenda  milele
Nitakupenda milele   nitakupenda  milele
Nitakupenda milele   yote  yahwe
Nitakupenda milele   yote


Video