Walter Chilambo - Sijawahi Ona Lyrics
- Song Title: Sijawahi Ona
- Album: Sijawahi Ona - Single
- Artist: Walter Chilambo
- Released On: 23 Feb 2024
- Download/Stream: iTunes Music Amazon Music
Sijaumbwa kwa bahati mbaya Aah jamani napendwa Hivi hivi nilivyo Mungu ananipenda Pamoja na madhaifu yangu Lakini napendwa Hivi hivi nilivyo Mungu ananipenda So ukinidharau,we nidharau tu Lakini mimi na Mungu wangu tuna jambo letu Na ukinicheka,we nicheke sana Hizo kwa Mungu kelele tu Hazinisumbui wala Mungu wangu halali Mungu wangu hasinzii Na akisema anakubariki Hakuna wakuzuia Mungu wangu hashindwi Mungu wangu hapangiwi Neno lake halijawahi kupita Bila kutimia....sijawahi ona Sijawahi ona aahh aahh (mungu kama wewe aahh)Sijawahi ona aaah aah ( mimi aah)Sijawahi ona aaah aahh (upendo kama wako)Sijawahi ona aah aaah (baba baba baba)Wewe umesema akutegemeaye Haumuachi ng'o aah aaah Akutegemeaye Haumuachi ng'o Na tukiomba kwa bidii Tena kwa kumaanisha Ye hutimiza ahadi tusipozimia moyo Nakosaje ujasiri ndani Nimembeba mtu wa maana Naanzaje ...naanzaje Hatua moja huanzisha nyingine Na nyingine ananipa mwenyewe Naachaje ....naachaje Mungu wangu halali Mungu wangu hasinzii Na akisema anakubariki Hakuna wakuzuia Mungu wangu hashindwi Mungu wangu hapangiwi Neno lake halijawahi kupita Bila kutimia....sijawahi ona Sijawahi ona aahh aahh (mungu kama wewe aahh)Sijawahi ona aaah aah ( mimi aah)Sijawahi ona aaah aahh (upendo kama wako)Sijawahi ona aah aaah (Baba baba baba)