Sifa Lyrics

NIMEBAKI NA AMANI by Zabron Singers cover art

Zabron Singers - NIMEBAKI NA AMANI Lyrics

Artist:
Zabron Singers

Lyrics

Mungu umenipa nafasi nyingine tena 


Nafasi ya kushukuru 


Ule wema upendo wako 


Naomba uzima hekima yako 


Ata nisijivune maana wewe mtenda yote


Ata yale yamepita utaniongoza


Nimebaki na amani


Na umeniweka pazuri ninakushukuru


Baba wa mbinguni


Pamoja na shida zangu zote


Najua uko nami


Na niwe sehemu yako


Naomba baraka zako zije


Zifike na unyenyekevu


Kama Mungu huishivyo


Wanipenda haujawainiacha 


Kuna muda sivumilii


Bado Mungu wangu wanipendaa


Wewe ni sababu ya mimi kuishi


Ata hapa niko na wewe


Umenivusha kwa mambo mengi


Mungu hufanya mambo makubwa kwangu


Nisiyoyajua,kusimama na mimi usiku mchanaa


Ata nikatafuta kumwambia na sikumpata


Nikakuona wewe Mungu mwenye upendo


Mungu wewe una siri kubwa nisiyoyajua 


Umenipigania usiku mchana


Haya mafanikio haya yakaja umekuwa na mimi


Hujaacha nishindwe


Sifa sikurudiee 


Pamoja na shida zangu zote


Najua uko nami


Na niwe sehemu yako


Naomba baraka zako zije


Zifike na unyenyekevu


Kama Mungu huishivyo


Wanipenda haujawainiacha 


Kuna muda sivumilii


Bado Mungu wangu wanipendaa


Wewe ni sababu ya mimi kuishi


Ata hapa niko na wewe


Umenivusha kwa mambo mengi


 


Video