Sifa Lyrics

Sio Bure by Zabron Singers cover art

Zabron Singers - Sio Bure Lyrics

Artist:
Zabron Singers

Lyrics

Sio si bure eeh wala si utani 


Sio utani twaendelea 


Tujeshi kubwa safarini pamoja 


Njiani moja mpaka Jerusalemu 


Safari yetu kamwe si bure 


Tuna hakika na uzima uzima 


Maana tuwazao wa wauteule 


Tumefanyika wana wa Mungu 


Miliki safi tena ndani ya Yesu 


Kusali kwetu kwa hakika si bure 


Sio sio si bure kwa Yesu ni faida 


Tuna sehemu ya kupeleka shida 


Wema nazo fadhili zake zimetukuka 


Toka toka juu kule Mungu hutazama 


Aone kama kuna wamtafutao 


Tafutane Mungu maana apatikana 


Ukipata Mungu umepata uzima 


Hatukatai kweli kuna vikwazo 


Vitisho vingi kukatisha tamaa 


Hatuogopi maana tuko na Yesu 


Kusimamia safari yetu 


Hakuna jambo gumu la kumshinda 


Iwe ni kifo tena kwake ni mwisho 


Mwisho wa yote ntaishi naye  


Hapo ndio mwisho wa safari yetu 


Maumivu kwisha habari yake 


Sio sio si bure kwa Yesu ni faida 


Tuna sehemu ya kupeleka shida 


Wema nazo fadhili zake zimetukuka 


Toka toka juu kule Mungu hutazama 


Aone kama kuna wamtafutao 


Tafutane Mungu maana apatikana 


Ukipata Mungu umepata uzima 


Video