Unaweza Lyrics - Neema Gospel Choir

Neema Gospel Choir swahili

Chorus:
Mwokozi wetu Yesu,
Bwana wa mabwana,
Unaweza,
nani kama wewe Bwana wa mabwana?

Unaweza Video

Buy/Download Audio

Unaweza Lyrics

ENGLISH LYRICS:
Lord of lords, 
You are able, 
Who is like you Lord of lords?

We praise your name, 
We exalt your name, 
You are the king of kings.

Lord, your hand performs great deeds,
You have given us salvation, 
Who is like you Lord of lords?

Oh Lord, God of hosts.
Oh Lord, make your face shine upon us.
Oh Lord Oh Lord 
And we shall be saved forever and ever.

Even as people change. 
You never change. 
Not like a man to deceive. 
Your truth endures forever.

Lord, your hand performs great deeds,
You have given us salvation, 
Who is like you Lord of lords?SWAHILI LYRICS:
Mwokozi wetu Yesu,
Bwana wa mabwana,
Unaweza,
nani kama wewe Bwana wa mabwana?
 
Tunalisifu jina lako,
Tunatukuza jina lako,
Wewe ni mfalme wa wafalme.
 
Bwana mkono wako Hutenda makuu,
Umetupa wokovu,
Nani kama wewe Bwana wa mabwana?
 
Ee Bwana, Mungu wa majeshi
Ee Bwana, utuangazie

Nuru za uso wako
Ee Bwana Ee Bwana
Nasi tutaokoka 
Milele milele
 
Hata watu wabadilike
Wewe kamwe hubadiliki
Si kama mtu udanganye
Kweli yako ni ya milele