Sifa Lyrics

Nikupe nini ? by Zoravo cover art

Zoravo - Nikupe nini ? Lyrics

Artist:
Zoravo

Lyrics

Ayayayaya.. ya, umejawa wema na oooh
Ayayayaya.. ya. Yoyoyo…  Oyeee


Umejawa wema na fadhili
Ahadi zote kwangu ni kweli
Umenitoa mbali
Bado nasimama katika kweli
Ayaya


Sio kwasababu ya mali
Uzuri ama shekeli
Ila ni kwa wingi
Wa zako fadhili
Yayayaya ya


Sio kwasababu ya Mali
Uzuri ama shekeli
Ila ni kwa wingi wa zako fadhili yoo


Nikupe nini, (Eh bwana)
Maana fadhili zako ( Zadumu)
Milele na milele (eh bwana)
Nikupe nini (eh bwana aah)
Nikupe nini (Eh bwana)
Maana fadhili zako (Zadumu)
Milele na milele (eh bwana)


Kwa pendo lako la ajabu
Nimefunikwa tu...
Wala tena sina tabu eh
Yesu kwangu ni tabibu
Sitaki tena rejea
Hadidu za matabibu
Wanadamu
Zimejawa takwimu za hofu
Zita niharibu uuh yea
Sio kwasababu ya mali
Uzuri ama shekeli
Ila ni kwa wingi
Wa zako fadhili
Sio kwasababu ya mali
Uzuri ama shekeli
Ila ni kwa wingi
Wa zako fadhili
Yoyoyo ... yayaya


Nikupe nini, (Eh bwana)
Maana fadhili zako ( Zadumu)
Milele na milele (eh bwana)
Nikupe nini (eh bwana aah)
Nikupe nini (Eh bwana)
Maana fadhili zako (Zadumu)
Milele na milele (eh bwana)


 


 


 


Video