Peter Blessing - Tam Tam Lyrics

Lyrics

Tam Tam Tam Tam Tam Tam Tam Tam Nahisi niko juu sina stress Akilini niko fresh Kwa Mungu wangu juu sina kesi Nahesabu tu mabless

Ananibembeleza mtoto (Ayee) Aelewa zangu ndoto (Ayee) Nijapoteleza kidogo (Ayee) Aninyanyua si uongo (Ayee)

Kupendwa jamani (Tam Tam Tam Tam) Mimi nawe (Tam Tam Tam Tam) Siku zote nawe (Tam Tam Tam Tam) Baba (Tam Tam Tam Tam) Mmmmh (Tam Tam Tam Tam) Kupendwa na wewe (Tam Tam Tam Tam) Siku zote nawe (Tam Tam Tam Tam) Baba (Tam Tam Tam Tam)

Wengine mapenzi yao, si kamili ngumu roho zao Nilinde kwa vita vyao kila wakati we yangu ngao Yesu we wangu dakitari uniepushe zao sumu kali Watamba kila mahali, hata wasojali wanahabari

Kupendwa jamani (Tam Tam Tam Tam) Mimi nawe (Tam Tam Tam Tam) Siku zote nawe (Tam Tam Tam Tam) Baba (Tam Tam Tam Tam) Mmmmh (Tam Tam Tam Tam) Kupendwa na wewe (Tam Tam Tam Tam) Siku zote nawe (Tam Tam Tam Tam) Baba (Tam Tam Tam Tam)

Mimi nawe (Tam Tam Tam Tam) Siku zote nawe (Tam Tam Tam Tam) Baba (Tam Tam Tam Tam) Mmmmh (Tam Tam Tam Tam) Kupendwa na wewe (Tam Tam Tam Tam) Siku zote nawe (Tam Tam Tam Tam) Baba (Tam Tam Tam Tam)

Kama sio upendo wake singekuwepo Kama si huruma zake, singekuwepo Ndio maana nampenda, uuh aah nampenda Nampenda nampenda

Video

Peter Blessing-Tam Tam (official Video) SMS Skiza 5965369 to 811 to get skiza tune

Thumbnail for Tam Tam video
Loading...
In Queue
View Lyrics