Tukuza Ministers - Duniani Lyrics

Duniani Lyrics

Duniani zote tu wasafiri,tunaelekea juu mbinguni
kwenye yale makao,tuloandaliwa tutaishi na bwana milele yote

Tutavishwa taji na bwana mwokozi tumepiga vita tukashinda vita vya ulimengu
Halleluya halleluya sisi tu washindi

Tuwe na imani kuwa kuna siku moja shida zote za dunia zitakoma
tutashangilia zote tukiwa washindi tukiimba Hossana halleluya

Halleluya
Hossana
halleluya
Hossana
halleluya tutaimba na bwana

Halleluya
Hossana
halleluya
Hossana
halleluya tutaimba na bwana

Tukizunguka kiti cha enzi 
Hossana,Hossana tutaimba na bwana
Hossana,Hossana halleluya tutaimba na bwana
Hossana,Hossana halleluya tutaimba na bwana
Tukizunguka kiti cha enzi 
Hossana,Hossana tutaimba na bwana

Tutavishwa taji na bwana mwokozi tumepiga vita tukashinda vita vya ulimengu
Halleluya halleluya sisi tu washindi
Halleluya halleluya sisi tu washindi

Tutavishwa taji na bwana mwokozi tumepiga vita tukashinda vita vya ulimengu
Halleluya halleluya sisi tu washindi
Halleluya halleluya sisi tu washindi

Duniani Video

Tukuza Ministers Songs

Related Songs