Sifa Lyrics

Mpaji by Peter Blessing cover art

Peter Blessing - Mpaji Lyrics

Artist:
Peter Blessing

Lyrics

Mola ndo mpaji
Mola ndo mpaji
Iye eeh wengine watiaji
Iye eeh Mola ndo mpaji


Mola ndo mpaji
Mola ndo mpaji
Iye eeh wengine watiaji
Iye eeh Mola ndo mpaji


Baraka zako hakika ah
Hazina kujuta ah
Mapenzi yako ya dhamani
Wala si ya kubahatisha ah


Wewe ndo muumbaji wetu eeh
Na unajua siri zetu eeh
Kwenye milima na mabonde eeh
We ndo mwelekezi wetu eeh


Hii mali yote ya duniani
Ni ya muda inapita jamani
Na wengi wapatapo mitihani
Huwa na kusahau mwenyezi


Mola ndo mpaji
Mola ndo mpaji
Iye eeh wengine watiaji
Iye eeh Mola ndo mpaji


Mola ndo mpaji
Mola ndo mpaji
Iye eeh wengine watiaji
Iye eeh Mola ndo mpaji


Baraka zako zinadumu
Hazina hukumu
Baraka zako zinadumu eeh
Hazina hukumu


Tena za milele
Hazina kilele
Tena za milele eeh
Hazina kilele


Hii mali yote ya duniani
Ni ya muda inapita jamani
Na wengi wapatapo mitihani
Huwa na kusahau mwenyezi


Mola ndo mpaji
Mola ndo mpaji
Iye eeh wengine watiaji
Iye eeh Mola ndo mpaji


Mola ndo mpaji
Mola ndo mpaji
Iye eeh wengine watiaji
Iye eeh Mola ndo mpaji


Wewe ndo muumbaji wetu eeh
Na unajua siri zetu eeh
Kwenye milima na mabonde eeh
We ndo mwelekezi wetu eeh


Mola ndo mpaji
Mola ndo mpaji
Iye eeh wengine watiaji
Iye eeh Mola ndo mpaji


Mola ndo mpaji
Mola ndo mpaji
Iye eeh wengine watiaji
Iye eeh Mola ndo mpaji


Video