Sifa Lyrics

Nakupenda by Mwenyehaki cover art

Mwenyehaki - Nakupenda Lyrics

Artist:
Mwenyehaki

Lyrics

Oooh oooh, oooh oooh
Oooh oooh, oooh oooh


Kama mpenzi nakuandikia barua
Sanduku la posta ningelijua
Ningetuma kwa residential
Private and confodential


Ningekueleza
Vile nakupenda
Hata usiku na giza
Hata kuwe mchana na jua


Ningekueleza
Vile nakupenda
Hata usiku na giza
Hata kuwe mchana na jua


Nakupenda Baba nakupenda
Nakupenda Baba nakupenda
Nakupenda Baba nakupenda
Nakupenda Baba nakupenda


Kama mpenzi nakuletea maua
Flavour yako ningelijua
Ningeleta specifically
Mimi mwenyewe personally


Lakini flavour yako si maua
Ni tabia nzuri na dua
Ninazozifanya kila siku 
Baba na sijisifu


Sio mimi pekee yangu Baba
Pia Pitson akupenda
Sio mimi pekee yangu Baba
Jacky B akupenda


Sio mimi pekee yangu Baba
Kenya yote yakupenda
Naona huyu na huyo
Na yule na yule, wote wakupenda


Nakupenda Baba nakupenda
Nakupenda Baba nakupenda
Nakupenda Baba nakupenda
Nakupenda Baba nakupenda


Oooh oooh, oooh oooh
Oooh oooh, oooh oooh


Nakupenda Baba nakupenda
Nakupenda Baba nakupenda
Nakupenda Baba nakupenda
Nakupenda Baba nakupenda


Hubadiliki kamwe
Ulinipenda mwanzo
Ulinipenda


Video