Sifa Lyrics

Mbele Ninaendelea by Christina Shusho cover art

Christina Shusho - Mbele Ninaendelea Lyrics

Artist:
Christina Shusho

Lyrics

Mbele ninaendelea ninazidi kutembea
Maombi uyasikie eeh bwana unipandishe


Mbele ninaendelea ninazidi kutembea
Maombi uyasikie eeh bwana unipandishe


Ee bwana uniinue kwa imani nisimame
Nipande milima yote ee bwana unipandshe


Si natamani nikae mahali pa shaka kamwe
Hapo wengi wanakaa kuendelea naomba


Nisikae duniani ni mahali pa shetani
Natazamia mbinguni nitafika kwa imani


Nataka nipandishwe juu zaidi yale mawingu
Nitaomba nifikishwe ee bwana unipandishe


Nataka nipandishwe juu zaidi yale mawingu
Nitaomba nifikishwe ee bwana unipandishe


Video