Sifa Lyrics

Asante Yesu by Christina Shusho cover art

Christina Shusho - Asante Yesu Lyrics

Artist:
Christina Shusho

Lyrics

Intro


Amen Amen, Amen Amen
Amen Amen, Amen Amen
Asante Yesu, Amen Amen
Asante Yesu, Amen Amen
Asante Yesu, Amen Amen
Amen Amen, Amen Amen
Amen Amen, Amen Amen


Interlude


Amen Amen, Amen Amen
Amen Amen, Amen Amen
Amen Amen, Amen Amen
Amen Amen, Amen Amen


Chorus


Amen Amen, Amen Amen
Asante Yesu, Amen Amen
Asante Yesu, Amen Amen
Asante Yesu, Amen Amen


Verse 1


Bwana Yesu ninakushukuru
Nina kila sababu ya kusema asante
Kwanza kwa zawadi ya uzima
Lakini pia kwa yale yote mema uliyonitendea


Hata kwa yale ambayo sijaona kwa macho ya nyama
Wacha niseme asante
Maana najua kwa wakati wako utayatenda


Verse 2


Baba asante kwa milima
Baba asante kwa mabonde
Asante kunipigania vita
Umenifanya dhahabu safi
Baada ya moto mkavu


Bridge


Asante kwa hatua nyingine
Na ngazi nyingine
Natamani siku moja niitwe
Mbarikiwa wa bwana
Maana neno lako linasema
Unatuwazia mawazo mema
Tena ya amani ya kutupa tumaini
Siku zetu za mwisho
Halleluya, halleluyah


Chorus


Asante Yesu, Amen Amen
Asante Baba, Amen Amen
Asante Mfalme, Amen Amen
Asante Yesu, Amen Amen


Outro


Amen Amen, Amen Amen
Amen Amen, Amen Amen
Amen Amen, Amen Amen
Amen Amen, Amen Amen


Video

Meaning & Inspiration

Asante Yesu is a Swahili thanksgiving song that turns gratitude into a repeated Amen. The chorus pairs "Asante Yesu" with "Amen Amen," and a later chorus extends the thanks to the Father and the King with "Asante Baba" and "Asante Mfalme." The verse gives reasons: "Nina kila sababu ya kusema asante," meaning there is every reason to say thanks, first for "zawadi ya uzima," the gift of life, and then for good done in hidden ways.

The singer thanks God for "milima" and "mabonde," the mountains and valleys, and for fighting battles, and describes being refined into pure gold "Baada ya moto mkavu," after dry fire. The bridge echoes Jeremiah 29:11 with "mawazo mema" and "tumaini," good thoughts and hope. The song suits Sunday thanksgiving, testimony moments and personal prayer after a hard stretch.

Related Scripture