Lyrics
[Verse 1]
Ee Bwana umenichunguza na kunijua
Wewe wajua kuketi kwangu na kuondoka kwangu
Umenifahamu wazo langu tokea mbali
Umepepeta kwenda kwangu na kulala kwangu
Umeelewa na njia zangu zote
Umepepeta kwenda kwangu na kulala kwangu
Umeelewa na njia zangu zote
[Chorus]

[Verse 2]
Maana hamna neno ulimini mwangu
Usilolijua kabisa Bwana
Umenizingira nyuma na mbele
Kukaniwekea mkono wako
Maarifa hayo ni ya ajabu
Yanishinda mimi, similiki
Haya dirikiki, siwezi kuyafikia
Maarifa hayo ni ya ajabu
Yanishinda mimi, similiki
Haya dirikiki, siwezi kuyafikia
Maana hamna neno ulimini mwangu
Usilolijua kabisa Bwana
Umenizingira nyuma na mbele
Kukaniwekea mkono wako
Maarifa hayo ni ya ajabu
Yanishinda mimi, similiki
Haya dirikiki, siwezi kuyafikia
Maarifa hayo ni ya ajabu
Yanishinda mimi, similiki
Haya dirikiki, siwezi kuyafikia
[Verse 3]
Maana wewe, ni wewe uliyeniumba
Uzima wangu, mikononi mwako
Wewe uko hapa, ningefanya kuzimu
Kitanda, huko nako huko
Kama nikisema, gizani nitajifunika
Giza na lo haliku, fiti kitu
Giza na mwanga, kwako ni sawasawa
Ee Mungu ee, unichunguze, uujue moyo wangu
Ee Mungu ee, unijaribu, uyajue mawazo yangu
Ee Mungu ee, unichunguze, uujue moyo wangu
Ee Mungu ee, unijaribu, uyajue mawazo yangu
Uone kama iko ilitayo
Majuto ndani yangu
Ee Mungu ee, niongoze, katika njia yako
Mwana wewe, ni wewe uliyeniumba
Uzima wangu, mikononi mwako
Macho yako, yalioniona
Kabla sijakamilika
Ee Mungu ee, unichunguze, uujue moyo wangu
Ee Mungu ee, unijaribu, uyajue mawazo yangu
Ee Mungu ee, unichunguze, uujue moyo wangu
Ee Mungu ee, unijaribu, uyajue mawazo yangu
Ona kama iko njia ilitayo
Majuto ndani yangu
Ee Mungu ee, niongoze, katika njia yako
Mwana wewe, ni wewe uliyeniumba
Uzima wangu, mikononi mwako
Ee Mungu ee, unichunguze, uujue moyo wangu
Ee Mungu ee, unijaribu, uyajue mawazo ya moyo yangu
Ee Mungu ee, unichunguze, uujue moyo wangu
Ee Mungu ee, unijaribu, uyajue mawazo yangu