Sifa Lyrics

Wanawake Tunaweza by Christina Shusho cover art

Christina Shusho - Wanawake Tunaweza Lyrics

Artist:
Christina Shusho

Lyrics

Wanawake jeshi kubwa, jeshi kubwa, jeshi kubwa
Wanawake jeshi kubwa, jeshi kubwa, jeshi kubwa
Wanawake tunaweza, tunaweza, tunaweza
Wanawake tunaweza, tunaweza, tunaweza
Mwanamke jiamini, jiamini, jiamini
Mwanamke jiamini, jiamini, jiamini

Wanawake tunaweza eeh (Tunaweza)
Tudhaminiwe tunaweza eeh (Tunaweza)
Kuongoza tunaweza eeh (Tunaweza)
Kulea tunaweza eeh (Tunaweza)

Wanawake (Tunaweza) ooh, tunaweza
Wanawake (Tunaweza) tunaweza sana
Mwanamke jasiri (Tunaweza) ooh, tunaweza
Wanawake jeshi kubwa (Tunaweza) tunaweza sana

Mwanamke napenda ujitambue
Wewe ni mtu wa dhamani
Popote ulipo jiamini unatosha
Yesu alitumika na wana wake
Mitume alikuwa na wanawake
Mwanamke popote ulipo unatosha
Nyumba bila mwanamke haifai
Huduma bila mwanamke haiendi
Dunia bila mwanamke si mahali salama
Mwanamke mahali popote ulipo, jiamini oh oh oh

Video