Sifa Lyrics

Aje by Benachi cover art

Benachi - Aje Lyrics

Artist:
Benachi

Lyrics

Mimi mwanake
Amekuwa nami ndo manake
Sifa ni kwake
Utanipata wapi ka si kwake


Niwe mtaa ama majuu
Ako nami karibu
So mi naye ka tattoo
Mi nampenda ananipenda tatu


Ameniweka fiti
Ameniweka stable kama kiti
Na hata time siko fiti
Ako nami ka mtego na simiti


Ni nani? Anaweza bila wee
Asimame tumuone
Ni nani? Anaweza bila wee
Asimame tumuone


Niaje aje,
Bila we nitaweza aje?
Niaje aje
Oooh bila we nitaweza aje?


Wewe ndo kila kitu Baba
Wewe ndo kila kitu Baba
Wewe ndo kila kitu Baba
Baba


Nyuma bila kiti
Team bila shabiki
Ndege bila tikiti
Nami nitawezaje bila we rafiki?


Wakati mother alidie 
Nikajiuliza walai
Ukanishika nikicry
Sa mi na we hata kunyeshe ama kudry


Umeniweka fiti
Umeniweka stable kama kiti
Na hata time siko fiti
Uko nami ka mtego na simiti


Ni nani? Anaweza bila wee
Asimame tumuone
Ni nani? Anaweza bila wee
Asimame tumuone


Niaje aje,
Bila we nitaweza aje?
Niaje aje
Oooh bila we nitaweza aje?


Wewe ndo kila kitu Baba
Wewe ndo kila kitu Baba
Wewe ndo kila kitu Baba
Baba


Ni Alfa Omega
Bila we nitawezaje aje?
Mwanzo na mwisho
Bila we nitawezaje aje?


Ni Alfa Omega
Bila we nitawezaje aje?
Ni mwanzo na mwisho
Bila we nitawezaje aje?


Niaje aje,
Bila we nitaweza aje?
Niaje aje
Oooh bila we nitaweza aje?


Wewe ndo kila kitu Baba
Wewe ndo kila kitu Baba
Wewe ndo kila kitu Baba
Baba


Video