Sifa Lyrics

Anajua by Benachi cover art

Benachi - Anajua Lyrics

Artist:
Benachi

Lyrics

Anajua yaliyo moyoni mwako
Elshaddai, na tena anafuta machozi yako
Adonai, anajua yaliyo moyoni mwako
Elshaddai, na tena anafuta machozi yako


Roho inadunda dunda (Dunda)
Na tena machozi yanakutoka
Mungu anaplan na wewe 
Usiwe na hofu wewe


Alikokutoa ni mbali 
Unakoenda ni mbali
Jifunze kuwa na imani
Mmmh kuwa na imani


Subiri subiria kwa imani
Hautodumu kwenye hii hali
Ahadi zake hazitumiki milele
Kwenye hali zote Mungu yupo nawe
Ahadi zake hazitumiki milele
Milele eh, milele eh, aah


Anajua yaliyo moyoni mwako
Elshaddai, na tena anafuta machozi yako
Adonai, anajua yaliyo moyoni mwako
Elshaddai, na tena anafuta machozi yako


Ona mama analia watoto wanalia
Hata ndani ya nyumba yako umeshindwa kutulia
Vumilia Mungu anakushughulia
One time inna dis time wote watashangilia


Ona Sarah alilia sana ii
Na mwishowe akapata mwana ayayaya..
Mungu amesikia ombi lako amesikia 
Mungu amesikia ombi lako amesikia 


Anajua yaliyo moyoni mwako
Elshaddai, na tena anafuta machozi yako
Adonai, anajua yaliyo moyoni mwako
Elshaddai, na tena anafuta machozi yako


Anajua yaliyo moyoni mwako
Elshaddai, na tena anafuta machozi yako
Adonai, anajua yaliyo moyoni mwako
Elshaddai, na tena anafuta machozi yako


Video