Muujiza

Muujiza Lyrics

Nikilala niamke, mkiona natembea 
Mwenzenu kwangu ni muujiza 
Asubuhi kuna kunakucha 
Jioni ikiingia maisha Yangu 
Mimi ni muujiza tu  .

Siku ikipita mwezi na mwaka unakwisha 
Mimi kwangu ni muujiza tu 
Eeeeh Yesu ee Yesu Bwana wangu wee 
Kwangu ni muujiza eeh  .

Mimi ni muujiza, maisha yangu ni muujiza 
Eh Bwana wee Kwangu ni muujiza 
Nikilala ni muujiza, nikiamuka ni muujiza 
Eh Bwana wewe Kwangu ni muujiza  .

Kuna waliolala hawakuamka, 
Eh Bwana, naona ni muujiza 
Walionza safari, hawakufika 
Mimi leo najiona ni muujiza 
Kuwa hai, kutangaza neno lako 
Bwana Kwangu mimi ni muujiza 
Sina sababu ya kunyamaza  
Maana kwangu, wewe Bwana ni muujiza  .

Mimi ni muujiza, maisha yangu ni muujiza 
Eh Bwana wee Kwangu ni muujiza 
Nikilala ni muujiza, nikiamuka ni muujiza 
Eh Bwana wewe Kwangu ni muujiza  .

Hoyaa hoyaa, Oh Yesu 
Ah Yesu wangu oooh   .

Mimi ni muujiza, maisha yangu ni muujiza 
Eh Bwana wee Kwangu ni muujiza 
Nikilala ni muujiza, nikiamuka ni muujiza 
Eh Bwana wewe Kwangu ni muujiza  .


Top Songs United States
Share:

Write a review/comment/correct the lyrics of Muujiza :

0 Comments/Reviews


Bible Verses for Muujiza

1st Timothy 1 : 15

It is a true saying, in which all may put their faith, that Christ Jesus came into the world to give salvation to sinners, of whom I am the chief:

Hebrews 2 : 4

And God was a witness with them, by signs and wonders, and by more than natural powers, and by his distribution of the Holy Spirit at his pleasure.

Psalms 139 : 14

I will give you praise, for I am strangely and delicately formed; your works are great wonders, and of this my soul is fully conscious.