Habari Njema Raha Yangu - Ndiyo Dhamana

Habari Njema Raha Yangu - Ndiyo Dhamana Lyrics

Ndiyo dhamana, Yesu wangu,
Hunipa furaha za mbingu,
Mrithi wa wokovu wake,
Nimezawa kwa roho wake. .

Habari njema, raha yangu,
Yesu ndiye Mwokozi wangu,
Habari njema, raha yangu,
Yesu ndiye Mwokozi wangu. .

Kumsalimu moyo wangu,
Mara namwona raha yangu,
Aniletea malaika,
Wanilinda, taokoka. .

Habari njema, raha yangu,
Yesu ndiye Mwokozi wangu,
Habari njema, raha yangu,
Yesu ndiye Mwokozi wangu. .

Sina kinyume; nashukuru,
Mchana kutwa huja kwangu,
Usiku kucha kuna nuru,
Mwokozi wangu; ndimi nuru. .

Habari njema, raha yangu,
Yesu ndiye Mwokozi wangu,
Habari njema, raha yangu,
Yesu ndiye Mwokozi wangu. .

Hali na mali, anitwaa!
Mara namwona anifaa,
Nami nangonja kwa subira,
Akiniita nije mara. .

Habari njema, raha yangu,
Yesu ndiye Mwokozi wangu,
Habari njema, raha yangu,
Yesu ndiye Mwokozi wangu.


Top Songs United States
Share:

Write a review/comment/correct the lyrics of Habari Njema Raha Yangu - Ndiyo Dhamana:

1 Comments/Reviews

  • KWISANGA

    Merci beaucoup pour ce chant 4 months ago