Sifa Lyrics

Kenya Ulindwe by Rose Muhando cover art

Rose Muhando - Kenya Ulindwe Lyrics

Artist:
Rose Muhando

Lyrics

Shukurani zangu kwa taifa la Kenya
Viongozi wa Kenya 
Na wananchi wa Kenya 
Kwa kuokoa maisha yangu
(Jawabu Studios)


Uhuru, baba Uhuru
We Uhuru, yabarikiwe malango yako
Uhuru, baba Uhuru
We Uhuru, yabarikiwe malango yako


Kenya Kenya, ulindwe
Ulindwe, Kenya ulindwe
Milele ulindwe 
Ifanikiwe mipaka yako


Ulindwe, Kenya ulindwe
Milele ulindwe 
Ifanikiwe mipaka yako


Malango yangu ulifungua
Mikononi ukanipokea
Kenya ukanihurumia
Yabarikiwe malango yako


Mikono yako ulikunjua
Ukanisaidia
Kenya ukanihurumia
Yafanikiwe malango yako


Cha kukupa sina
Mali sina
Chochote sina 
Ubarikiwe malango yako


Uwezo sina
Mali sina
Nakuombea kwa Mungu Baba
Yabarikiwe malango yako


Uhuru, baba Uhuru
Rais Uhuru, yabarikiwe malango yako
Narudia Uhuru, tena Uhuru
Wewe Uhuru, ifanikiwe mipaka yako


Kenya, ulindwe
Kenya, ulindwe
Kenya, ifanikiwe mipaka yako


Uhuru, baba Uhuru
We Uhuru, yabarikiwe malango yako
Uhuru, baba Uhuru
We Uhuru, yabarikiwe malango yako


Kenya Kenya, ulindwe
Ulindwe, Kenya ulindwe
Milele ulindwe 
Ifanikiwe mipaka yako


Ulindwe, Kenya ulindwe
Milele ulindwe 
Ifanikiwe mipaka yako


Mbingu zinene mema
Kwa ajili yako zinene mema
Kwa wakenya zinene mema
Yabarikiwe malango yako


Mbingu ziseme mema
Kwa wakenya zinene mazuri
Kwa kizazi zinene mema
Wabarikiwe watoto wako


Eeh Mungu ikumbuke Kenya
Ibariki Kenya
Pamoja na malango yake


Eeh Mungu ibariki Kenya
Ikumbuke Kenya
Pamoja na kizazi chake


Uhuru, baba Uhuru
Uhuru, ubarikiwe taifa lako
Uhuru, tena Uhuru
Nasema Uhuru, ubarikiwe taifa lako


Kenya, inuliwa Kenya
Barikiwa Kenya
Pamoja na watoto wako


We Kenya, nasema Kenya
Barikiwa Kenya
Pamoja na kizazi


Yelelele baba


Uhuru, baba Uhuru
We Uhuru, yabarikiwe malango yako
Uhuru, baba Uhuru
We Uhuru, yabarikiwe malango yako


Kenya Kenya, ulindwe
Ulindwe, Kenya ulindwe
Milele ulindwe 
Ifanikiwe mipaka yako


Ulindwe, Kenya ulindwe
Milele ulindwe 
Ifanikiwe mipaka yako


Mungu, awe adui wa adui zako
Na mtesi wa watesi wako
Apigane kinyume nao


Mungu, awe adui wa adui zako
Na mtesi wa watesi wako
Apigane kinyume nao


Uhuru, baba Uhuru
Rais Uhuru, yabarikiwe malango yako
Kenya, leo Kenya
Milele Kenya, ifanikiwe mipaka yako


Uhuru, baba Uhuru
We Uhuru, yabarikiwe malango yako
Uhuru, baba Uhuru
We Uhuru, yabarikiwe malango yako


Kenya Kenya, ulindwe
Ulindwe, Kenya ulindwe
Milele ulindwe 
Ifanikiwe mipaka yako


Ulindwe, Kenya ulindwe
Milele ulindwe 
Ifanikiwe mipaka yako


Mungu ibariki nchi ya Kenya
Bariki taifa la Kenya
Viongozi wa Kenya
Waimbaji wa Kenya
Na madaktari wa Kenya


Kenya mbarikiwe!


Video