Sifa Lyrics

Miamba Imepasuka by Rose Muhando cover art

Rose Muhando - Miamba Imepasuka Lyrics

Artist:
Rose Muhando

Lyrics

Tuimbe eeh, wewe ni bwana
Tuimbe eeh, wewe ni bwana
Tuimbe eeh, wewe ni bwana
Tuimbe eeh, wewe ni bwana
(Glory glory)


Tuimbe eeh, wewe ni bwana
Tuimbe eeh, wewe ni bwana


Eee Mungu bingu na zikusifu
Watu na wakuimbie
Dunia na iseme wewe ni Bwana
Wewe uliyemwangusha nyangumi


Mungu wa wafilisti
Mwisho wake wakajua wewe ni Bwana
Uliye gawanya bahari kwa mkono wa Musa
Na kuweka history ee wewe ni Bwana


Na ulikomesha masimango na kiburi cha Pharaoh
Walisifu na kusema wewe ni Bwana
Uliyesimamisha jua kwa mkono wachojua
Wenye akili wamesurrender
Wewe umeweka recordi, isiyoweza kuvunjwa
Ndio maana tunasema wewe ni Bwana


Wacha nikuinue, wacha nikuabudu
Mungu wangu wewe, wewe..
Wewe ni Mungu, wewe ni Bwana


Tuimbe eeh, wewe ni bwana
Tuimbe eeh, wewe ni bwana
Tuimbe eeh, wewe ni bwana
Tuimbe eeh, wewe ni bwana
(Glory glory)


Tuimbe eeh, wewe ni bwana
Tuimbe eeh, wewe ni bwana


Ni ya ajabu mambo yako Baba wee
Yanatisha matendo yako Mungu wee
Ni ya ajabu mambo yako Baba wee
Yanatisha matendo yako Mungu wee


Sinai ulipasuka miamba ilipasuka
Mbingu zikatetemeka wewe ni Bwana
Wewe ni moto ulao, Baba uangungushaye
Nani kama wewe... wewe ni Bwana
Wewe ni Bwana, wewe ni Bwana


Tuimbe eeh, wewe ni bwana
Tuimbe eeh, wewe ni bwana
Tuimbe eeh, wewe ni bwana
Tuimbe eeh, wewe ni bwana
(Glory glory)


Tuimbe eeh, wewe ni bwana
Tuimbe eeh, wewe ni bwana


Ebenezer, Ebenezer
Bwana wa mabwana
Mfalme wa wafalme
Mungu wa miungu nani kama wewe


Tuimbe eeh, wewe ni bwana
Tuimbe eeh, wewe ni bwana
Tuimbe eeh, wewe ni bwana
Tuimbe eeh, wewe ni bwana
(Glory glory)


Tuimbe eeh, wewe ni bwana
Tuimbe eeh, wewe ni bwana


Video