Rose Muhando - Secret Agenda Lyrics
Lyrics
Ahh Ehhh Ahhh
Secret Agenda Siri Agenda
Secret Agenda Siri Agenda
Kwanza namushukuru Mungu Aliyenipoza machungu Na maneno ya waulimwengu Kweli Mungu sio mzungu Hafichiriki na machungu Hakuninyima na guvungu
Amepindua agenda Ameharibu agenda Amezifuta agenda Amepindua agenda
Bado bado bado badoo Nesema hamjaona badoo Mawazo ya Mungu ni fumbo (Remember) Akili za Mungu nifumbo (Remember) Wachawi ongezeni bundle Wabadilishe na mitindo Sio kilasiku kuruka na umbo Tupigieni na mabondo Akamekuroga na mafundo Neno la Mungu ni nyundo Sio kama gazeti la shikongo Yeye, hachunguziki Ni mwamba, hatingiziki Wala, hapendi kiki Anapenda sifa na muziki
Yeye anasema, kamata pindo Cheza serebuka, leta mdundo
Yeye anasema, kamata pindo Cheza serebuka, leta mdundo
Yeye anasema, kamata pindo Cheza serebuka, leta mdundo
Yeye anasema, kamata pindo Cheza serebuka, leta mdundo
Never never never never know Adui zangu hawanipati ngoo Maisha yangu yamekwenda viral Yesu amenifunga ramba serial Adui zangu webebaki na video
I am a fighter, it is better I am a fighter, it is better
Nitapindua agenda Nitaharibu agenda Nitazifuta agenda Nitaharibu, nitangangana kama defender Nitangangana, kama defender No retreat no surrender
Yeye anasema, kamata pindo Cheza serebuka, leta mdundo
Yeye anasema, kamata pindo Cheza serebuka, leta mdundo
Yeye anasema, kamata pindo Cheza serebuka, leta mdundo
Yeye anasema, kamata pindo Cheza serebuka, leta mdundo
Secret Agenda Siri Agenda
Secret Agenda
Siri Agenda
Video
Rose Muhando - Secret Agenda (Official Video) SMS SKIZA 5969449 OR 4969450 OR 5969448 TO 811