Sifa Lyrics

 Nakataa by Rose Muhando cover art

Rose Muhando - Nakataa Lyrics

Artist:
Rose Muhando

Lyrics

Mimi ni wa Mungu


Mimi ni wa Mungu


Mimi ni wa Yesu


Mimi ni wa Yesu


Mtoto wa Yesu


Mimi ni wa Mungu


Enyi madhabau ya giza nawavunja leo


Hamtanifunga tena nawavunja leo


Hamtanikalia tena nawavunja leo


Nitafaulu maishani najitabiria


Umenifinya muda mrefu aah


Nakataa


Eti ketu hatusomi aah


Nakataa


Boma letu hatuolewi aah


Nakataa


Eti hatujengi nyumba ya maana we


Nakataa 


Mimi ni wa Yesu


Umaskini sitaki mimi 


Mimi ni wa Mungu mfano wa Mungu


Ni wa Mungu agano la mungu


Mapatano ya misimu ya kwetu hainihusu


Maagano ya mababu zamani sikuwepo


Mimi nimenunuliwa kwa damu ya Yesu


Mimi nimetengenezwa kwa mikono ya mungu


Mimi ninaishi sana kwa ahadi za baba


Ikiwa madahabau za kwetu,Hapana


Mimi nakataa


Uchawa wa kwetu,Hapana


Mimi nakataa


Maagano ya kwetu,Hapana


Nakataa


Za babu za mababu,Hapana


Nakataa


Kutengwa kwa baraka,Hapana


Nakataa


Laana na mikosi,Hapana


Nakataa


Maagano yawakanga,Hapana


Nakataa


Umaskini na kuchoka,Hapana


Nakataa


Kuchekelewa kwa kijiji,Hapana


Nakataa


Madharau ovyoovyo,Hapana


Nakataa


Kulialia kila siku,Hapana


Nakataa


Kuchekelewa na watoto,Hapana


Nakataa


Kufutwa kazi ovyoovyo,Hapana


Nakataa


Kuangaika maishani,Hapana


Nakataa


Navunja mimi,Hapana


Nakataa


Nakataa


Mimi ni wa Mungu


Mimi ni wa Mungu


Mimi ni wa Yesu


Mimi ni wa Yesu


Mtoto wa Yesu


Mimi ni wa Mungu


Ikiwa madahabau za kwetu,Hapana


Mimi nakataa


Uchawa wa kwetu,Hapana


Mimi nakataa


Maagano ya kwetu,Hapana


Nakataa


Za babu za mababu,Hapana


Nakataa


Kutengwa kwa baraka,Hapana


Nakataa


Laana na mikosi,Hapana


Nakataa


Maagano yawakanga,Hapana


Nakataa


Umaskini na kuchoka,Hapana


Nakataa


Kuchekelewa kwa kijiji,Hapana


Nakataa


Madharau ovyoovyo,Hapana


Nakataa


Kulialia kila siku,Hapana


Nakataa


Kuchekelewa na watoto,Hapana


Nakataa


Kufutwa kazi ovyoovyo,Hapana


Nakataa


Kuangaika maishani,Hapana


Nakataa


Navunja mimi,Hapana


Nakataa


Nakataa


Video