Sifa Lyrics

Pombe by Rose Muhando cover art

Rose Muhando - Pombe Lyrics

Artist:
Rose Muhando

Lyrics

Pombe ina madhara 


Pombe ina madhara 


Pombe ina madhara 


Pombe ina madhara 


Pombe ina matatizo


Pombe ina madhara 


Pombe inaleta mziba


Pombe ina madhara 


Pombe imesaaisha familia kutengana wee


Pombe ina madhara 


Pombe imesaaisha mume kufutwa kazi wee


Pombe ina madhara 


Pombe ina madhara 


Pombe ina magonjwa 


Pombe ina matatizo


Pombe ina madhara


Heshima yako imeshuka 


Siku hizi hueleweki


Watoto wanalia njaa


Baba ameshinda clabuni


Mwenye nyumba anadai kodi baba haonekani


Watoto wanalia njaa


Baba amelala mtaroni


Nyumani majukumu mama amelemewa


Kabeba sukuma kichwani,mabega amelegea


Akirudi nguo imechanika chakarachakara 


Baba akirudi nyumbani amelewa chakarichakari


Kumbe kupepesapepesa baba yupo mpango wa kando


Pombe ina madhara 


Watoto wamefukuzwa shule


Pombe ina madhara 


Baba unaitwa mzee wa ovyo


Pombe na madhara we


Pombe ina madhara  


Pombe ina madhara 


Pombe ina madhara 


.................


Video