Mungu Wangu

'Audio Mp3 Preview Courtesy of iTunes listen on Itunes Music View on amazon

Wewe Hulinganishi (You are uncomparable)
Tunakupenda Yesu (We love you Jesu) .

Mungu Wangu (Oh Lord my God)
Mungu Wangu (Oh Lord my God)
Siwezi Pata Kama wewe (I can never find nobody like you) .

Nobody can heal like you
Nobody can save like you
No one else can take a broken heart
And make it brand new again .

Nobody can heal like you
Nobody can save like you
No one else can take a broken heart
And make it brand new again .

Mungu wangu (Oh Lord my God)
Mungu Wangu (Oh Lord my God)
Siwezi Pata kama wewe x2
(I can never find nobody like You) .

Siwezi Pata kama wewe
(I can never find nobody like You)
Yesu wangu (My Jesus) .

Nobody can heal like you (heal like you baba)
Nobody can Save like you (save like you baba)
No else can take my broken heart
And make it brand new again .

Heal like you baba
(Heal like you my Father)
Save like you baba
(Save like you my Father) .

Mungu Wangu (Oh Lord my God)
Mungu Wangu (Oh Lord my God)
Siwezi Pata Kama wewe 
(I can never find nobody like you) .

Mfariji wangu (My comforter)
Kimbilio langu (My refuge)
Unastahili ehh (You are worthy)
Kuabudiwa (To be glorified)
Mwanzo tena Mwisho (Beginning and the end)
Kipenzi cha Roho yangu (Lover of my soul)
Roho mtakutifu (HolySpirit)
Tunakupenda(We love you)
Tunakuabudu (We worship you)
Tunakuinua (We lift you up) .

Wewe tu Bwana (It's only you my God)
Wewe tu Bwana (It's only you my God)
Wewe tu (It's only you)
Yesu wewe tu (Jesus only you) .

Wewe tu (It's only you)
We ni mkuu (You are great)
Yesu tu (Jesus only you) .

Wewe ni alpha (You are the Alpha)
Wewe ni omega (You are the Omega)
Mfalme WA falme (King of kings)
Wewe WA ajabu (You are of signs and wonders)
Wewe hulinganishwi (You are uncomparable)
Wewe wapendeza (You are beautiful)
Yesu wewe tu (Jesus only You)
Nobody else Lord, Nobody elseShare:
0 Comments

Comments / Song Reviews

Share your understanding & meaning of this song


Freke Umoh

@freke-umoh

Bio

View all songs, albums & biography of Freke Umoh

View Profile

Bible Verses for Mungu Wangu

Psalms 73 : 25

Ni nani niliye naye mbinguni, Wala duniani sina cha kupendeza ila Wewe.

Isaiah 25 : 1

Ee Bwana, wewe u Mungu wangu; Nitakutukuza na kulihimidi jina lako; Kwa kuwa umetenda mambo ya ajabu, Mashauri ya kale, kwa uaminifu na kweli.

Psalms 40 : 8

Kuyafanya mapenzi yako, Ee Mungu wangu, ndiyo furaha yangu; Naam, sheria yako imo moyoni mwangu.

Mp3 Songs & Download from iTunes

listen on Itunes Music

Sifa Lyrics

Social Links